MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Muda umeishaanza kuongea!Muda utaongea
Hili ni hitimisho lako lakini ukweli unabaki kuwa siasa za Tanzania ni kama upepo ambao hauna madhara kwa wanaozijua vizuri!Shida ni Njaa wala Hakuna Uhalisia wa Kila Jambo kwa Watanzania.
Mbona mda umeongea, na umeishia kukandamiza haki za kijinsia zidi ya akina mama wasio na hatia, matapeli wakubwa kwelikweliiiMuda utaongea
Mbona mda umeongea, na umeishia kukandamiza haki za kijinsia zidi ya akina mama wasio na hatia, matapeli wakubwa kwelikweliii
Hao wakina mama waliokuwa wakifukuzwa bungeni na Ndugai wakiwa Chadema.Mbona mda umeongea, na umeishia kukandamiza haki za kijinsia zidi ya akina mama wasio na hatia, matapeli wakubwa kwelikweliii
Unasubiri ripoti?Ndo mnadanganyana huko Lumumba kuwa suala la ICC limepita???πππ
Kwani ICC wameshatoa ripoti kuwa hawatachunguza???
Hili ni hitimisho lako lakini ukweli unabaki kuwa siasa za Tanzania ni kama upepo ambao hauna madhara kwa wanaozijua vizuri!
Nadhani kuhusu bomba la Mafuta, Wafaransa wanasubiri kwanza uchaguzi upite nchini Uganda!Acha tu boss hii nchi ni kichekesho cha karne. Kuna mtendaji mmoja huko vijijini ninakokwenda alikuwa anawaongolesha wananchi kwa vitisho eti iwapo hiyo 50m@kijiji ikifika wasionane wabaya. Nikamwambia una uhakika na hiyo hela maana rais huyu sio mtu mkweli, akaniapia kwa Miungu yake, na akasema siku hela ikiingia nitameza matapishi yangu. Sasa hivi tukionana huko kijijini hataki hata kunipungia mkono.
Kuna wengine niliwaambia mradi wa bomba la mafuta ya Uganda ni utapeli kama utapeli mwingine, kada mmoja wa mboga mboga akawa ananiambia lazima huo mradi ukamilike kufika hii 2020, na serikali ichukue hela za ajabu. Leo hii ni mwisho wa 2020 hakuna hata kipande cha bomba bovu hapa nchini la hilo bomba la tapeli Museveni, zaidi ya juzi kuja kwenye kampeni za kuhalalisha wizi wa kura kwenye maonyesho ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kwahiyo na chama chenu mnafanya kama ndugai?Hao wakina mama waliokuwa wakifukuzwa bungeni na ndugai wakiwa chadema
Nadhani kuhusu bomba la Mafuta, Wafaransa wanasubiri kwanza uchaguzi upite nchini Uganda! Kuhusu milioni 50 kila kijiji, nakubali CCM walihadaa umma kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 na walipaswa kuwaomba wananchi msamaha! Tatizo wana siasa wetu ni wagumu sana kuomba msamaha!
Nadhani kuhusu bomba la Mafuta, Wafaransa wanasubiri kwanza uchaguzi upite nchini Uganda! Kuhusu milioni 50 kila kijiji, nakubali CCM walihadaa umma kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 na walipaswa kuwaomba wananchi msamaha! Tatizo wana siasa wetu ni wagumu sana kuomba msamaha!
Bomba la mafuta lilikuwa likamilike 2020, hukumbuki uzinduzi wake huko Chongoleani Tanga mbele ya Magufuli, Museveni na hao wafaransa. Mpaka siku hiyo wakapatanishwa Makonda na Ruge RIP?Nadhani kuhusu bomba la Mafuta, Wafaransa wanasubiri kwanza uchaguzi upite nchini Uganda! Kuhusu milioni 50 kila kijiji, nakubali CCM walihadaa umma kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 na walipaswa kuwaomba wananchi msamaha! Tatizo wana siasa wetu ni wagumu sana kuomba msamaha!
Labda ICC ya nyuma y key board ambapo mahakimu na majaji ni bavicha ufipaNdo mnadanganyana huko Lumumba kuwa suala la ICC limepita?πππ
Kwani ICC wameshatoa ripoti kuwa hawatachunguza?
Umegundua Ndugai ni mpuuziKwahiyo na chama chenu mnafanya kama ndugai?