Upepo wa Halima Mdee na wenzake utapita kama ulivyopita wa ICC na Rais Magufuli

Upepo utapita huku kwetu lakini rafiki zetu wazungu (EU & US) wanafuatilia hii kitu hadi kieleweke na kitaeleweka tu hakuna namna.
Naanza kusikia harufu ya mtu kama si kumugabewa basi itakuwa kugadafiwa kabisa!
Kujipa matumaini yasiyopo ni kupoteza muda na pia ni matumizi mabaya ya fikra!
 
Kumbe upo? Nilifikiri umeshakufa kwa stress za kushindwa uchaguzi mkuu. Pole mkuu!
Yupo, kwa sasa anasubiri Rais Magufuli afikishwe kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ili uchaguzi mwingine ufanyike!
 
Jinai haiozi, leo ICC wamesema wanataka kufufua kesi ya Ruto upyaa
Acha tu ifufuliwe mkuu,hawa jamaa wakati Wa kesi yao mashaidi walikufa ktk mazingira ya utata.
Huku kwetu kama kesi itafunguliwa ICC ntashauri mashahidi wapewe hifadhi za ukimbizi nchi za mabeberu,vinginevyo hakuna atakaejitokeza.
 
Ficha ujinga. Kesi za ICC siyo kama za kuiba kuku. Hata ukiiba kuku ukakamatwa, kesi haishi siku moja. Toa mfano wa kesi moja y ICC iliyohitimishwa katika mwezi mmoja.
Watanzania tukaaambiwa ''tukae mkao wa kula'' kwa sababu ''vielelezo'' na ''vidhibiti'' vimewasilishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Maelezo haya yaliwafanya wasiozijua vizuri siasa za Tanzania kuanza kushangilia huku wengine wakitumaini wako mbioni kushuhudia Uchaguzi Mkuu mwingine kwa sababu watawala wa sasa wakiongozwa na Rais Magufuli wanapelekwa gerezani, Uholanzi!
 
Acha tu ifufuliwe mkuu,hawa jamaa wakati Wa kesi yao mashaidi walikufa ktk mazingira ya utata.
Huku kwetu kama kesi itafunguliwa ICC ntashauri mashahidi wapewe hifadhi za ukimbizi nchi za mabeberu,vinginevyo hakuna atakaejitokeza.
Afrika ina tabu nyingi sana mkuu, ngoja tuone what will happen, naamini there is a better plan kwa ajili ya watakaokuwa mashahidi
 
Ficha ujinga. Kesi za ICC siyo kama za kuiba kuku. Hata ukiiba kuku ukakamatwa, kesi haishi siku moja. Toa mfano wa kesi moja y ICC iliyohitimishwa katika mwezi mmoja.
Kama mimi ni mjinga basi wewe endelea tu kusubiri Rais Magufuli kupelekwa ICC!
 
Rejea kilichowaokoa Uhuruto.
Ni kuwauwa mashahidi muhimu kesi ikakosa ushahidi Wa kutosha.hao jamaa wangefungwa.
We Ruto ndo umenifanya nikaamni kuwa walokole baadhi hawajaokoka.
Ulichoandika hapa kinaashiria huzijui vizuri geopolitics za dunia hii!
 
Omar al Bashir aliongoza wee, mpaka akaingia kambani, sasa ananyea ndoo.
Kwa hiyo?

Unafananisha siasa za Tanzania naza Sudan?

Nimesema kama huzijui siasa za Tanzania utajikuta unakuwa na matumaini ambayo kiuhalisia hayapo!
 
Hakuna sehemu nimemtisha mtu yeyote!

Kupambania neno "haki" ni sehemu ya maisha! Hoja ya msingi ni haki zipi katika mazingira gani?

Haki inayopambaniwa nchini ni upepo tu kama unazijua vizuri siasa nchini!

Samahani mkuu hapo kwenye kutisha watu. Nilimaanisha kuwakatisha tamaa ingawa hata hiyo yaweza ikawa sio nia yako.

Mimi, kwa uchaguzi wangu mwenyewe si mfuatiliaji sana wa siasa za Tanzania ingawa nayaona yote yanayotokea na wakati mwingine nashindwa kumezea kwenye hii michango mnayotoa nyie mliobobea katika siasa hapa jukwaani.

Kwa huu uzi wako naomba tu tukubaliane kutokukubaliana.
 
Back
Top Bottom