Upepo umeleta mvua.

Ezsdon

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
89
Reaction score
152
Katika hali ya kushangaza jamaa mmoja mwenye matatizo ya kwenda haja kubwa bila kujijua akifika mshindo, alikutana na demu mwenye tatizo la kwenda haja ndogo akifika mshindo. Baada ya maelewano wakaenda kulifanya tendo, katikati ya mchezo utamu uliponoga mara jamaa akapumua,
Demu- "we vipi?"
Jamaa-"ahh ufh upepo tu".
Shughuli ikaendelea tena, ghafla demu akaachia haja ndogo.
Jamaa akatahamak-"nin hiki?"
Demu-" ah si upepo umeleta mvua. Ghafla jamaa nae kamaliza haja kubwa hiyo.
Demu-" kha! Imekuwaje?"
Jamaa-" dah mvua imeleta matope".
 

Umeifunza nini jamii hapa.?
mambo mengine sijui kama
 
imetulia kiasi flani
 
Scanning.....1%
26789 threats found
File corrupted.
 
Mjanja utani sio mpaka ujifunze, if you can't laugh to a joke then you got a problem.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…