Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,764 Reaction score 50,850 Jul 28, 2021 #41 Retired said: Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha! Click to expand... Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa
Retired said: Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha! Click to expand... Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,261 Reaction score 8,162 Jul 28, 2021 #42 Hata dar hali si shwali
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,912 Reaction score 101,405 Jul 28, 2021 Thread starter #43 Faana said: Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa Click to expand... Si ajabu huu upepo kuna chanjo ya corona humo ndiyo maana watu wanaugua vifua. Mabeberu wabaya sana 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
Faana said: Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa Click to expand... Si ajabu huu upepo kuna chanjo ya corona humo ndiyo maana watu wanaugua vifua. Mabeberu wabaya sana 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,261 Reaction score 8,162 Jul 28, 2021 #44 Faana said: Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa Click to expand... Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hizi
Faana said: Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa Click to expand... Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hizi
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,764 Reaction score 50,850 Jul 28, 2021 #45 kalonji said: Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hizi Click to expand... 🤣
kalonji said: Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hizi Click to expand... 🤣
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,912 Reaction score 101,405 Jul 28, 2021 Thread starter #46 Wabaya sana, wanataka kutuua na baridi
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,764 Reaction score 50,850 Jul 28, 2021 #47 kalonji said: Hata dar hali si shwali Click to expand... Utafiti mdogo niliofanya kila ukiwapigia simu jamaa, marafiki, ndugu na wengineo waliopo ukanda wa pwani wanaongea sauti za kimafuamafua wanakuambia tuko vitandani
kalonji said: Hata dar hali si shwali Click to expand... Utafiti mdogo niliofanya kila ukiwapigia simu jamaa, marafiki, ndugu na wengineo waliopo ukanda wa pwani wanaongea sauti za kimafuamafua wanakuambia tuko vitandani
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,764 Reaction score 50,850 Jul 28, 2021 #48 Hii naiona kama ni depopulation plan
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,261 Reaction score 8,162 Jul 28, 2021 #49 Nadhani ikisha corona wamepata chanjo wanataka kutuuwa kwa baridi sasa. Tukiletewa ugonjwa wa baridi sisi tutakimbilia wapi kwenye joto
Nadhani ikisha corona wamepata chanjo wanataka kutuuwa kwa baridi sasa. Tukiletewa ugonjwa wa baridi sisi tutakimbilia wapi kwenye joto
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Jul 28, 2021 #50 Umeniwahi Mkuu hahahahahaha Gwajiboy kafanikiwa kuuamsha msukule kule chato umeamua kushukia Tanga uje ujionee chanjo alizopiga marufuku zimeanza bongo. Imagine hilo jicho atakalomkata wa kudemka kisha tusi juu 🤣🤣🤣🤣 Elliot Alderson said: mwendazake anarudi!..... Click to expand...
Umeniwahi Mkuu hahahahahaha Gwajiboy kafanikiwa kuuamsha msukule kule chato umeamua kushukia Tanga uje ujionee chanjo alizopiga marufuku zimeanza bongo. Imagine hilo jicho atakalomkata wa kudemka kisha tusi juu 🤣🤣🤣🤣 Elliot Alderson said: mwendazake anarudi!..... Click to expand...