Upepo Mkali Kinondoni

Upepo Mkali Kinondoni

mjanjamjanja

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
32
Reaction score
2
Wadau huku maeneo ya kinondoni mpaka mwananyamala kuna upepo mkali sasa hivi.je maeneo yenu yakoje tuhabarishane.
 
Kimara upepo kwa mbali mvua kawaida .vip mdau upepo hauja ezua paa?
 
mvua inapiga balaaa ni mwanzo mwisho bila kusimama
 
Mvua ya hatari inanyesha usingizi wote umeruka Dah!!! Halafu inazidi
 
Mimi naogopa jamani, hata siwezi kulala na hii hali radi, vimulimuli bora mvua muda huu Tabata Segerea imekatika.
Tanesco washafanya yao.
 
Huku boko upepo sio mkali ila kuna vidudu vinang'ata balaa.. vimenikurupusha usingizini, sijui vinapitaje kwenye neti. ..hapa imebidi tuamke tutoke chumbani tunasubiri harufu ya dawa ya mbu iishe!!!
 
Huku boko upepo sio mkali ila kuna vidudu vinang'ata balaa.. vimenikurupusha usingizini, sijui vinapitaje kwenye neti. ..hapa imebidi tuamke tutoke chumbani tunasubiri harufu ya dawa ya mbu iishe!!!

hahahahahaaaaa,, mambo gani tena haya.,,yani hadi mbavu zimeuma. Tuacheni tulale.
 
Temeke hapa mvua inanyesha mbayaa. Vimulimuli ndio usiseme, ila haina upepo.
 
punguzeni uzinzi. Jiji limezidi madhambi.
 
usongizi umekata aisee hiii mvua sio mchezo hapalaliki ndugu yangu maana ni balaa. tupu
 
Huku boko upepo sio mkali ila kuna vidudu vinang'ata balaa.. vimenikurupusha usingizini, sijui vinapitaje kwenye neti. ..hapa imebidi tuamke tutoke chumbani tunasubiri harufu ya dawa ya mbu iishe!!!

Mkuu hivyo vidudu ni vya aina gani, au kitu cha kunguni.
 
Mimi naogopa jamani, hata siwezi kulala na hii hali radi, vimulimuli bora mvua muda huu Tabata Segerea imekatika.
Tanesco washafanya yao.

hapo gerezani kuna mti umeanguka barabarani kesho wanaotoka kinyerezi wajiandae
 
Kongowe ni full mchana yani full radi ukichangany n mingurumo duuh unaeza tokanje ilaa bonge l mvua n upepo wake wakuu
 
Mimi naogopa jamani, hata siwezi kulala na hii hali radi, vimulimuli bora mvua muda huu Tabata Segerea imekatika.
Tanesco washafanya yao.

Unakaa peke yako Mamiii, pole sana usiogope.
 
Yani radi inapiga hadi nashindwa kulala. halafu tanesco washafanya yao.
 
Back
Top Bottom