Nimesoma sehem kimeshaisha nguvu na kasi kwa iyo watanzania tuko salama.
Ila hivi vimbunga tofauti yao sijui ni ipi.
Kuna Typhoon, cyclone na hurricane. Hii kutokea kwaanzia pwani ya mtwara msumbiji hadi madagascar nasikia waniita hurricane. Ile ya kule ufilipino wanaita typhoon.