Kuna kimbunga kwenye Bahari ya hindi kimeishafika Madagascar na kimeleta hasara huko. Kinaonekana kuongeza kasi sababu na Msumbiji kimepitia.
Tuombe kisije kikakazana na kupitia Dar.
Toka nje kaa kibarazani vua nguo baki na boxa, simama, fumba macho, tanua mikono yote then vuta pumzi ndefu huku ukiwa unapigwa na huu upepo!! You will experience something you never experienced before!!
Upepo wa kawaida, nilikuwa nje muda ambao upepo unaanza na umeme ukakatika na mvua ikaanza kunyesha . Saizi ni 03:00 hakuna upepo ila kuna mvua na umeme umerudi. mbezi
Kuna kimbunga kwenye Bahari ya hindi kimeishafika Madagascar na kimeleta hasara huko. Kinaonekana kuongeza kasi sababu na Msumbiji kimepitia.
Tuombe kisije kikakazana na kupitia Dar.
Nimesoma sehem kimeshaisha nguvu na kasi kwa iyo watanzania tuko salama.
Ila hivi vimbunga tofauti yao sijui ni ipi.
Kuna Typhoon, cyclone na hurricane. Hii kutokea kwaanzia pwani ya mtwara msumbiji hadi madagascar nasikia waniita hurricane. Ile ya kule ufilipino wanaita typhoon.