Upendo wa mtoto wa kike uko moyoni, ila kwa sisi watoto wa kiume upo akilini

Sijui kama ni wa mtoto wa kike tuu maana thread huku ni nyingi za watoto wa kiume wakiomba ushauri baada ya kushindwa kuwasahau maX wao
sio kama mkuu mwendo kasi hawapo? la hasha wapo sana ila kiwango kikubwa ni wapo ivo
 
MSEMO NIUPENDAO:

Wasichana ni kama maembe, wakati wewe ukisubiri muda yakomae, wengine wanayala kwa chumvi.
 
Hyo ni kweli ila nami naongezea

Unaweza kuishi na mwanamke anaekupenda atakama wew humpendi. Ila onyoo uwezi kuishi na mwanamke unaempenda wew na yeye akupend ata kama wew billionaire atakuaibsha tuu
 
Hyo ni kweli ila nami naongezea

Unaweza kuishi na mwanamke anaekupenda atakama wew humpendi. Ila onyoo uwezi kuishi na mwanamke unaempenda wew na yeye akupend ata kama wew billionaire atakuaibsha tuu
100% uko sahihi
 
Huwezi amini ...mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana.

Vitu unavyodhani ni muhimu kwake sio muhimu...na vile unavyodhani sio muhimu basi ndio muhimu.

Anaweza mpenda muuza genge kwa kuwa anamwongezaga fungu la nyanya akakusahau wewe uliyempa fedha ya kwenda gengeni
 
Back
Top Bottom