Upendo wa kweli una sifa hizi...

Huo wakati wa kututajia hilo duka bado haujafika.....!!???
 
Huu ni wa biblia bado wa nje ya biblia mkuuu
 
Upo 'upendo' tu simple
Ni Kweli ndugu upo sawa kabisa.Nimeweka "Upendo Wa Kweli" Kutofautisha na "Upendo Wa Uongo" ni Kama vile "Manabii Wa Kweli" Vs "Manabii Wa Uongo".Lengo Kusaidia kutofautisha " Fake" na "Original".
 
Ukitaka kuujua Ukweli wa Kinachosemwa mahali popote pima kwa kuangalia Matunda(Matokeo) yake pindi kinapofanyiwa kazi(application).Uzuri katika fahamu zetu tumeumbiwa uwezo wa kujenga picha ya kujua Matokeo ya kukifanyia kazi kitu chochote tunachokiona au kukisikia kabla hatujaamua kukifanyia kazi.Matokeo ndo reference itakayokupa picha ya "Ubaya" au "Uzuri" wa kilichosemwa.Ndipo inafuata hatua ya kukipokea au kukikataa.Tafuta Kuijua kweli ikuweke huru...!.UKWELI ni kama Mchana una kawaida ya kujipambanua wenyewe..!
Huu ni wa biblia bado wa nje ya biblia mkuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…