StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,752
- 8,100
- Thread starter
-
- #21
Huko kuwaona wenye Upendo wa Kweli ni "mazuzu" kumeanza baada ya nini kutokea kwenye maisha yako au automatically ulizaliwa hivyo?.Yah ishawahi kuuona ila wanaoonesha upendo wahivyo me binafsi sichukuliagi kama niupendo ila huwa nawaona kama mazuzu
Hakuna nililolipata baya katika mapenzi labda ndivyo nilivyozaliwa hivyoHuko kuwaona wenye Upendo wa Kweli ni "mazuzu" kumeanza baada ya nini kutokea kwenye maisha yako au automatically ulizaliwa hivyo?.
Hakuna nililolipata baya katika mapenzi labda ndivyo nilivyozaliwa hivyo
Upendo wa kweli ni kama kwenye hio avatar hapoHuo unaohubiri upendo wa mshumaa na haupo
mtu anatongoza hadharani au unamfuma halafu tu ujifanye hujaona na usimuhesabie makosa ni unafiki wa kimataifa kwakweli
Upendo wa kweli ni kama kwenye hio avatar hapo
Yaani lile domo mie hoiiiiii kabisa.Unampendea nini huyo au lile domo kama Chai Jaba [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hapo nakubali kweli wanawake mna namna ya pekee ya kupenda aisee. Given hujanywa bia zake tuYaani lile domo mie hoiiiiii kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hapo nakubali kweli wanawake mna namna ya pekee ya kupenda aisee. Given hujanywa bia zake tu
Hamchelewi nyie tunawajua. Kuna mmoja kashapiga bia za Rrondo bila shaka naona kainjika na uzi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani kwamba itakuwa najisafisha baada ya kunywa bia zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamchelewi nyie tunawajua. Kuna mmoja kashapiga bia za Rrondo bila shaka naona kainjika na uzi kabisa.
Ooooh...Yeees ni kama namba 5Upendo husamehe!
Nimekazia tuu MkuuOoooh...Yeees ni kama namba 5
Nimekazia tuu Mkuu
Huo unaohubiri upendo wa mshumaa na haupo
mtu anatongoza hadharani au unamfuma halafu tu ujifanye hujaona na usimuhesabie makosa ni unafiki wa kimataifa kwakweli
Mweeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]kama upendo wangu nikiutia kwenye namba
Nakupenda zaidi ya 7652
hakuna aliyekupenda zaidi 561