Upendo wa kweli katika mapenzi Bado upo.!

Sasa najiuliza wanaosema mapenzi..
ya kweli

Hakuna wao. wanaishi wapi.
Kwani wewe unatakaje mboni km haueleweki? Na haujasema kimekupata nini hadi umeanzisha hii mada?

Usije baadae hapa ukafungua uzi mwingine unataka kusaidiwa hela na namba ya simu ukaweka kisa kuna kamanzi kamekuganda kanataka kula chips kuku la sivyo kanakupiga kibuti, sema vizuri ueleweke
 
Unajua kabla hujasema twambie kwanza mahusiano yak yana muda gan? Kama na wiki anza kuandaa kitambaa cha kufuta machozi.
Ila kama yanamiaka 5 uko sahih.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…