Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Mwanamke anatongozwa kila siku awe kaolewa au lah; wanawake wamepewa uwezo na kipekee kujua mwanaume yupi mkweli na yupi ana shida ya kula na kusepa.Ukweli ni kwamba kutokana na ongezeko la social Media ni kwamba mwanamke mmoja anatongozwa na wanaume kuanzia watano minimum!na kuondelea 10etc,na wote wanakuja na some message I love so much!,kwa jinsi navyoona inakuwa ni ngumu kuamini yule ni yupi na yupi anamaanisha!!
Hapa ndio linakuja suala na uchumi,ili mwanamke oane unamjali ni lazima may be umtoe out,ama kumnununulia zawadi ama kumjali kwa vitendo!
Sasa utamnunulia vipi zawadi kama hauna pesa!?,utamtoa vipi out kama hauna pesa?,utamjali vipi kwa vitendo kama huna chochote cha kumpa zaidi ya kumwambia I love you!?
Walah!kwa vile Mimi ni bahili nimejikuta tu roho inaniuma!
Money is not everything but is a only thing!
Kama unaweza kujua simu used basi hilo la upendo ni suala dogo sana
Sio kweli, ndio maana mwanamke ukimdanganya anadhani ni kweli na ukimwambia ukweli anadhani ni uongoMwanamke anatongozwa kila siku awe kaolewa au lah; wanawake wamepewa uwezo na kipekee kujua mwanaume yupi mkweli na yupi ana shida ya kula na kusepa.
Wakati ukifika utatoa tu
Si kweli..,.Sio kweli, ndio maana mwanamke ukimdanganya anadhani ni kweli na ukimwambia ukweli anadhani ni uongo
Nigga you are trying to live in a fantasy world and not the real worldMwanamke anatongozwa kila siku awe kaolewa au lah; wanawake wamepewa uwezo na kipekee kujua mwanaume yupi mkweli na yupi ana shida ya kula na kusepa.
Love doesn't have a limit in anything including cash !!Nigga you are trying to live in a fantasy world and not the real world
Kwa matendo yake.Ukweli ni kwamba kutokana na ongezeko la social Media ni kwamba mwanamke mmoja anatongozwa na wanaume kuanzia watano minimum!na kuondelea 10etc,na wote wanakuja na some message I love so much!,kwa jinsi navyoona inakuwa ni ngumu kuamini yule ni yupi na yupi anamaanisha!!