"Upendo wa kudumu" ( nilimuonea?)

"Upendo wa kudumu" ( nilimuonea?)

Sawa mkuu.
...anakuandikia hayo akiwa ndani ya Ndoa na ni Mke wa Mtu??
Hata ungemuoaa wewe si ajabu angemuandikia mchepuko mwingine hivyo.
.....changanya na za kwako!!!
 
Ila angekuwa ni huyo kweny picha usingemkataa ila nenda kale papuchi ya bure mkuu maisha yenyewe ndo hayahaya
Kwa nini mkuu!?
Kwani wewe hujawahi kulaumiwa kukataa mtu ambae wengine wanaona ana sifa kedekede lakini wewe huna kabisa mpango nae!!
 
Mkuu;
Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa wanaotupenda tunawachukulia poa na tunaowapenda kadhalika. Uliko utateseka sana kwani aliyekupenda hautakuwa nao bali unaowapenda wewe lkn hawakuoebdu
 
Na mimi nitafanya uchunguzi nikomfem mkuu kama ni kweli hilo usemalo.

Kwa kifupi ukioa unayempenda sana utageuka kuwa mtumwa wake, akikosea utsomba msamaha wewe muendelee sabsbu hauko tayari kumkosa lkn ukioa akipendae sana utafurahia
Na mimi nitafanya uchunguzi nikomfem mkuu kama ni kweli hilo usemalo.
 
Hii kitu sijui wanawake wanaichukuliaje ila binafsi inanichanganya mno...nina ishu kama ya mtoa mada, kuna manzi aliwahi nipenda mwenyewe na akanitamkia but sikuweza kuwa nae sababu ndo nlikuwa nimetoka kusalitiwa vibaya mno na mwanamke nlokuwa naye kwenye mahusiano. Huyo dada alijaribu kila namna kunifanya nimpende lakini wapi, baadaye akaja akaolewa na akazaa watoto wawili. Sasa imepita miaka kama 6 nashangaa mwaka huu mwanzoni amepata namba yangu, akanitafuta anasema bado moyo wake uko kwangu! Eti Aliolewa kule sababu umri wake ulikuwa unahitaji ndoa.....
 
Same case mkuu...kikubwa unakuwa hujamgegeda sasa sijui anachokumbuka ni nini!!??
 
umeshaoa........ila kama ni huyo kwa picha.........utakuwa unafurahisha genge JF!!!!! huyo hata kipofu haachi walahiii,,,angalau kuosha rungu tuu....midomo mizuri hivyo ya kutalk na mic........poa tuu lakini...kama keshaolewa potezea.....mwambie wewe ni hanithi atakuelewa...
 
Mkuu usiseme hivo.
Usimalize maneno...inaweza kufika mda na wewe ukashindwa kumkubalia manzi ata kama mzuri lakini haendani na vipengele flani.
Ipo hivo.
umeshaoa........ila kama ni huyo kwa picha.........utakuwa unafurahisha genge JF!!!!! huyo hata kipofu haachi walahiii,,,angalau kuosha rungu tuu....midomo mizuri hivyo ya kutalk na mic........poa tuu lakini...kama keshaolewa potezea.....mwambie wewe ni hanithi atakuelewa...
 
Unachukuliwa poa na huyo uliemwambia "kama unavyonichukulia mimi" ndio nikasema unahitaji attention yake?! Wakati huo huo watu kibwenga wanahitaji attention yako ila hawapati.
[emoji134]Sijaelewaa
 
Unachukuliwa poa na huyo uliemwambia "kama unavyonichukulia mimi" ndio nikasema unahitaji attention yake?! Wakati huo huo watu kibwenga wanahitaji attention yako ila hawapati.
Yaan ndo hvyo namwelewa lkn ananchukulia poa ila hamna tabu akisoma hapa mwambie ntaenda kwa wanaonipa attention
 
Back
Top Bottom