Upendo upo tatizo hatuaminiani

Upendo upo tatizo hatuaminiani

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao mwenza wetu watatulia kwani watamini sisi tuna upendo wa kweli tusitake shindana nao tutaishia maliza mabucha na nyama ile ile
 
Tumekusikia, tumekuelewa na sasa tunasonga mbele.
 
Tatizo latu ni kuwa kila mmoja anaamini yeye ni bora kuliko mwenzake
"
Lakini kibaya zaidi tumejiwekea madaraja.
"
Mtu anajiaminisha yeye si mtu wa kuwa na mtu fulani.Tunajitesa kwa kudhani kuna binadamu alie bora kuliko mwingine
"
Mpaka siku tutakaporudi kwenye maumbile ndipo binadamu atayafurahia maisha
"
Tutamtafuta sana mchawi na hatutampata!
 
kwa dunia ya sasa mwenzangu uaminifu zero kutokana na kila m2 kuto muamini mwenzie na ndo hapo maana ya upendo inapo potea
 
Wanasema wahenga tabia inajenga usugu, mwanamke au mwanamme akizoea kuonjaonja ni wazi kwamba hata ampate mkamilifu kiasi gani ni vigumu kusahau ile tabia yake ya awali......Ila akitokea mwenye upendo wa dhati akafungamana na mwenzie mwenye kushabihiana nae ni wazi haitatoke siku wakachokana kwani upendo wa dhati unabadilika na nyakati ila upendo wa ulaghai haubadiliki kamwe........Vijana nawasihi muache tabia za kupenda ngono mchanganyiko kwani ukishajenga usugu utaharibu maisha yako yote ya duniani.
 
Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao mwenza wetu watatulia kwani watamini sisi tuna upendo wa kweli tusitake shindana nao tutaishia maliza mabucha na nyama ile ile

umenena jama! Massage sent!
 
nani kakudanganya kuwa nyama ni ile ile? papuchi zinatofautiana ati....
 
Sawa papuchi zinatofautiana lakini tendo si lile lile kwamba mwisho wa siku lazima ukojoe/utoe mbegu? Ndo maana unaambiwa nyama ile ile hata ukienda bucha zingine.
 
Tatizo latu ni kuwa kila mmoja anaamini yeye ni bora kuliko mwenzake
"
Lakini kibaya zaidi tumejiwekea madaraja.
"
Mtu anajiaminisha yeye si mtu wa kuwa na mtu fulani.Tunajitesa kwa kudhani kuna binadamu alie bora kuliko mwingine
"
Mpaka siku tutakaporudi kwenye maumbile ndipo binadamu atayafurahia maisha
"
Tutamtafuta sana mchawi na hatutampata!

Dont be bitter bwana.
Sasa utachukuwa mwanamke ambaye unaona hakufai just because ana kishimo?

Kweli mimi sio wa kuwa na mwanaume suruali bwana; ninahitaji mwanaume ambaye ni mume kwa kila eneo; na pia awe baba wa watoto wetu kwa kila eneo. Sio mwanaume kisa anauwezo wa kutia mimba tu au baba kisa ana ndevu!
 
Sawa papuchi zinatofautiana lakini tendo si lile lile kwamba mwisho wa siku lazima ukojoe/utoe mbegu? Ndo maana unaambiwa nyama ile ile hata ukienda bucha zingine.

sawa kumwaga utamwaga lakini jinsi gani utamwaga ndio kinacho matter bwana.
 
Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao mwenza wetu watatulia kwani watamini sisi tuna upendo wa kweli tusitake shindana nao tutaishia maliza mabucha na nyama ile ile

Ni vzr kuaminiana, lakini hapo nilipobold huwezi kujinga na maradhi kama mwenza wako hajatulia, maana ukijinga, yeye atakuletea. Hivyo basi naunga mkono hoja kwa kuongeza kuwa ni vyema kutulia lakini ukiwa pekee yako endapo utagundua mwenza wako hajatulia .... Akijarekebisha, mtapima na kurudiana kama bado utakuwa na mapenzi naye; Vinginevyo, ni sawa na kujaza maji kwenye gunia!
 
Back
Top Bottom