Upendo toka rohoni

Mungu awakuze na awalinde na mabaya . Really I love them
 
Watoto wa kike wakiwa wadogo ni wazuri mno ajabu, ni wakweli, wako na huruma upendo na utii,ila wakishavunja ungo tuu! hakuna asiejua maswahibu yao.
 
@mshanajr
kumbe watoto wamekua tofaut na kpindi kile
hivi huyo mdogo anaitwa nani?
 
mtoto wa kike anakuwa msaada kwa mzazi na wadogo zake mapema sana. maana ufahamu wake unakuwa haraka kuliko mtoto wa kiume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…