macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,482
- 61,395
Mkuu Erythrocyte hili siyo jambo jipya. Ila mimi ujumbe wangu kwa CHADEMA ni huu: Akili zitumike vizuri. Jazeni ''sleeper cells'' huko CCM. Kwa wale ambao hawajui maana ya sleeper cells ni majasusi wanaopandikizwa kwa adui yako bila yule adui kuwa na habari. Wakiwa huko, wanajifanya ni chawa wabobezi wa CCM na wanatumika siku kunapokuwa na umuhimu. Kiufupi hata tume ya uchaguzi kama CHADEMA watacheza vizuri wanaweza kupandikiza watu huko. Ila inatakiw iwe siri kubwa sana, na hao mashushushu wajulikane na viongozi wawili tu , tena wale wa ngazi za juu.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Siku hizi anayemtukana mhamaji atakuwa mjinga sana. Hata mhamaji anayefika upande wa pili na kuanza kutoa kashfa naye ni mjinga sana. Tangu vyama vingi viingie, uhamaji umekuwa ni jambo la kawaida na sijawahi kuona faida yake kubwa.Angoje matusi ya Erythrocyte.🙂
Hakuna mwenye akili Timamu atakaye bakia CHADEMA huko. Huko watabaki wasio jitambua.Kuwa mpinzani haijawahi kuwa kazi rahisi, waliobaki upinzani hadi sasa ni “wanaume” kweri kweri.
Kila la heri Peneza.
Akina Makonda,Nape na Musiba ndiyo wenye akili timamu weye?Hakuna mwenye akili Timamu atakaye bakia CHADEMA huko. Huko watabaki wasio jitambua.
Hao ni majembe kwelikweli. Huko CHADEMA mtabaki na akina Mdude Nyagali ambao akili zao hazisomi.Akina Makonda,Nape na Musiba ndiyo wenye akili timamu weye?
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Mdude alishawahi ongoza wilaya/Mkoa/Idara gani Tanzania?Hao ni majembe kwelikweli. Huko CHADEMA mtabaki na akina Mdude Nyagali ambao akili zao hazisomi.
Alikuwa na skendo Arusha huko kugombea mwili WA marehemu huyu Magige, ila Kwa Peneza ni haki ya mtanzania yeyote kuchagua chama akipendacho, na tusimlaumu Kwa haki yake kikatibaDaaah l, sijui ni kwanini watu wa ajabu ndio hupata nafasi za maana nchi hii? Wanazingatia wingi wa maneno sio uwezo wa utendaji wa mtu.
Being honest, Pendeza ni mrembo haswa.
Kweli mkuu, ila ndio kununuliwa uko.Alikuwa na skendo Arusha huko kugombea mwili WA marehemu huyu Magige, ila Kwa Peneza ni haki ya mtanzania yeyote kuchagua chama akipendacho, na tusimlaumu Kwa haki yake kikatiba
Hivi huyu Michael Kamuhanda Yuko wapi siku hizi?Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Ni kweli hiyo hisia inaweza kutawala, ila aliweza kumudu Kipindi Cha mdororo WA demokrasia magu regime, Sasa nashindwa kupata picha why now!! Ok Kila la kheri, nilikuwa namkubali Sana huyu Dada, ila bibilia imeonya Mambo kuhusu akina mama kukabidhiwa UkooKweli mkuu, ila ndio kununuliwa uko.
alijua hilo ndo maana amekuja,Huyu binti angeniambia nihamie Chadema ningehamia.
Kaogopa maandamano. Kaona aanze mapema kuliko kukinzana na Uongozi wa juu jambo ambalo angeonekana msaliti.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Mvuta bangi kaiangusha serikali mahakamaniCHADEMA watabaki wasiojitambua tu na wavuta bangi kama Mdude Nyagali ambaye kichwani hazisomi.
Wamemuomba msamaha...huyu Dada alidhalilishwa na kutukanwa na Ccm wakati wa kampeni leo amejiunga nao?