Upendo ni hisia au chaguo?

Upendo ni hisia au chaguo?

Mr Zombie

Member
Joined
Jan 26, 2022
Posts
83
Reaction score
45
Hivi wakuu mnafikiri kuwa upendo ni HISIA au CHAGUO?

Kuwa makini katika kujibu nimeongelea upendo na sio mapenzi.

Its zombie intelligent
 
Upendo ni chaguo,,,unajua ukikaa na mtu muda mref mwish wa siku unakua na upendo nae hata kma ni wa kawaida tuu wanasma love glow upend unakua sabab ya kuchagua
 
Back
Top Bottom