Issa hayola
Member
- Feb 7, 2014
- 21
- 2
Marafiki, upendo wa dhati ndilo jambo la kheri baina yetu na wengineo.
Hivi inakuwaje mpaka mtu wa tabaka la juu anamchukia na kumtolea maneno makali au hata yenye kukera mtu mwenye tabaka la chini?
Kumbuka, mungu hakumjaalia mtu kipato kwa kuja kumnyanyapaa mwingine bali alifanya hivyo kwa lengo maalum. Imani, ukarimu, upendo na heshima vitakufanya uwe na neema maishani mwako. Mwisho, nawapenda wote.