Upendo huanzia ndani ya moyo

Upendo huanzia ndani ya moyo

Ni kweli mkuu ila wako wengine wanampenda mtu kwa kitui alichonacho na sio vile alivyo huyo mtu sasa hapa kuna upendo au ndo kutamani best
It's all the same, hakuna tofauti yoyote uliyoelezea kati ya kumpenda mtu kwa kitu alichonacho na jinsi alivyo, hata hiyo jinsi alivyo ni kitu pia, so not much difference.
Umeshau subject upendo basi hamna unaoanzia miguuni bali tu ni jinsi tu unavyopata expression kwa watu tofauti
 
halafu baada ya muda utaona anaanza kukutema sasa huo upendo ulkikuwa wapi kama sio kutamani mara nyingi tamaa huwaga haidumu kabisa
Vijana wa siku hizi hawajui kutofautisha upendo na tamaa, utakuta mtu kakutamani tu lakini atakuambia ninakupenda tena kutoka moyoni
 
halafu baada ya muda utaona anaanza kukutema sasa huo upendo ulkikuwa wapi kama sio kutamani mara nyingi tamaa huwaga haidumu kabisa

Umeonaeeh! Hawajui maana halisi ya upendo upendo hauwezi kufananishwa na kitu chochote wala hauchagui upendo unabeba mambo mengi sana naweza kusema its something natural
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom