Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

mi nataka kujua anatoka mtaa gani pale geita kamata namfaham vizuri
ukisikiliza hotuba za M/Nyerere,,,,Madiba yan utaona siasa ya sasa ivi ni uozo mtupu watu wakolazi wafie chama na sio nchi... yan inashangaza mtu mzima anasisitiza uzalendo ni kulinda chama na sio kuilinda na kuitetea nchi na mambo yanaenda mbali zaidi ata taasisi ambazo hazitakiwi kuwa na chama au mfungamano wa siasa wanaonesha upande wazi wazi..... hili ni janga kubwa sana...


sasa leo binti hajamaa chama wanazusha hoja za kishenzi angehama je ungesikia ni mzalendo
 
Ukishajua Cv yake itakusaidia nini?
Aaaargh! Cc wabongo bhana shida tupu.
Vipi lakin shule mkifungua January jitahid usome kwa bidii ucje ukarisit tena!
 
Hata angekuwa darasa la pili c swala ni kwamba jeee? Anaelimu ya uraia kichwani au na yeye mbumbumbu kama ma Dr wetu wengi? Elimu ya cheti ni 0 kama hakuna elimu kichwan , usomi wa makaratasi hauwwzi ku determine kiwango cha ukimavu wa fikrawa mtuu , na walio liingiza taifa hasara ndio hao hao wanao jiita wasomi wa vyeti , idiot

Na ndio maana mkuu wa mkoa DAR inasemekana elimu yake magumashi lakin ni mbunifu kuliko hata hizi PhD zenu
Mkuu ni lini wasomi wa nchi hii walishika nafasi kubwa kubwa tangu taifa hili liumbwe?? Zaidi ya magukufuri kuanza kuheshimu taaluma za watu katika utendaji kazi kwa maendeleo ya nchi awamu hii!!!!! Wasomi walikuwa wanapelekeshwa na wanasiasa ,ndiyo maana ukaja usemi wa akili ndogo haiwezi kuindesha akili kubwa,unajua chanzo cha kauli hii??
Wasomi waanze kulaumiwa miaka kumi ya magufuri ikiisha,maana sehemu nyingi kateuwa madokta na maprofesa,mpaka mkaanza kulalamika
kuwa usipokuwa dokta au profesa awamu hii ,huteuliwi,siyo nyie???????

Msiwangize wasomi wa taifa hili kwenye lawama za kishoga kama zako...
Nchi hii imetawaliwa na kuendeshwa na akili ndogo tangu tunapata Uhuru kwa asilimia 98.sasa wasomi awamu hii magu kawabeba,wakishindwa kututoa hapa ndiyo tuanze kulaumu.....

Ova.
 
Nakumbuka tukisoma nae pale Mwanza Baptist secondary . mie nikaacha shule . yeye alitakiwa amalize kidato cha nne mwaka 2006
Kuna mdau kamquote post #4 anasema huyu dada alimaliza A level 2007!
 
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.

She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.

Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.

Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Mmeshindwana bei huko ndio unakuja kulialia hapa. CCM wapuuzi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom