upendeleo wanaopewa wazungu kuliko wazawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

upendeleo wanaopewa wazungu kuliko wazawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mohamed ally, May 12, 2011.

 1. m

  mohamed ally Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi wanazagaa mtaaani?Wamekalia kufilisi makampuni kama Tango Transpot na kuwakumbatia mafisadi hivi hii sawasawa kweli? zabuni zikitoka bungeni zinzpelekwa nje kwa ajili ya ushindan:mod:
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama unasomeka, anyway nitarudi baadae.
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu,imekatikia kwenye intro?sijakusoma bado
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  oin Date : 24th April 2011
  Posts : 23
  ThanksThanked 1 Time in 1 Post

  Rep Power : 0

  Karibu mkuu, lakini colour ya maandishi yako inaumiza macho, badilisha tafadhali
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hasomeki wala nini. Mi sirudi tena.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  jaribu basi hata kutuvutia kusoma thread yako kwa kuweka rangi nzuri....aaaahhh....inaboa bana....ila kuna mahali nataka kujua vizuri.....hii Tango Transport unayozungumzia ni ipi?.....japo pia maudhui ya uzi sijayaelewa
   
Loading...