upendeleo wanaopewa wazungu kuliko wazawa

mohamed ally

Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi wanazagaa mtaaani?Wamekalia kufilisi makampuni kama Tango Transpot na kuwakumbatia mafisadi hivi hii sawasawa kweli? zabuni zikitoka bungeni zinzpelekwa nje kwa ajili ya ushindan:mod:
 
Sina uhakika kama unasomeka, anyway nitarudi baadae.
 
Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi wanazagaa mtaaani?Wamekalia kufilisi makampuni kama Tango Transpot na kuwakumbatia mafisadi hivi hii sawasawa kweli? zabuni zikitoka bungeni zinzpelekwa nje kwa ajili ya ushindan:mod:

Mkuu,imekatikia kwenye intro?sijakusoma bado
 
oin Date : 24th April 2011
Posts : 23
ThanksThanked 1 Time in 1 Post

Rep Power : 0

Karibu mkuu, lakini colour ya maandishi yako inaumiza macho, badilisha tafadhali
 
Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi wanazagaa mtaaani?Wamekalia kufilisi makampuni kama Tango Transpot na kuwakumbatia mafisadi hivi hii sawasawa kweli? zabuni zikitoka bungeni zinzpelekwa nje kwa ajili ya ushindan:mod:

jaribu basi hata kutuvutia kusoma thread yako kwa kuweka rangi nzuri....aaaahhh....inaboa bana....ila kuna mahali nataka kujua vizuri.....hii Tango Transport unayozungumzia ni ipi?.....japo pia maudhui ya uzi sijayaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom