James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,233
Je ukikuta familia baba na mama wametengana, Dada zake karibu wote wapo wapo tu nyumbani hawajaolewa wana shughuli zao. Mama zake wadogo nao wapo wapo tu nyumbani hawajaolewa. Hapo vipi!!!!
Wanyambo siyo wahaya hata ukiwaita hapa watakataaa.... Muleba unayosema wewe imevamiwa na wasukuma kibao!! Mbona hausemi makabila yanayofanywa na wakwe zoo? Umalaya hulka ya mtu.. Sample na analysis yako haijajitoshelwza kusema wahaya Malaya...
Jiandae kupigiwaKama demu wa kihaya itakuaje mkuu
womanity tafadhali jaribu kutumia akili japo hata kidogo. Sijawahi kusema kuwa wanyambo ni wahaya, nimetaja makabia ya sehemu nilizoishi na makabila yao. True kuwa umalaya ni hulka ya mtu lakini kwa wahaya na wanyambo hakuna mfano. In short, wahaya na wanyambo wako related in every aspect na pia ni watani wa jadi japo wanaogopana. Wilaya ya Muleba japo ina makabila mengine lakini asilimia kubwa ya Muleba ni wahaya, just like Bukoba mjini. Nimeishi hizi sehemu na ninawajuwa wahaya fika hata lugha yao inapanda, siji hapa kuropoka tu....I know what I am saying. Ukitaka presha ya ndoa, oa mhaya, mnyambo, mchagga, mpare, mnyakyusa, mnyaturu, utaona joto la jiwe.
Duuuh mbona hatari kabira lipi limetulia saaWanawashinda wahaya au wanyambo?
Wanawake wa kichaga wapoje na kipare
Mambo ya kusema funga tu na kuomba mambo mengine achia Mungu, ujue sometimes Mungu tunamuonea bure katupa akili ili tuitumie ikishindikana ye ndo anatake place nadhani kuna ufanano na wanaotaka Mungu akawalimie mazao yatakuja mengi tuKwanza Fanya toba wewe,
Funga na kuomba kibali cha Mungu,make mwema hutoka kwa Mungu,
Angalia familia ya anayotoka unaetaka kuoa km umemuona angalia km wazazi wacha Mungu,
Then mengine yafuate,
NB sifa za nje za mke hazina faida yyte ktk ndoa,
kuna demu wa fb kanishobokea.. hazijapita siku 2 anadai nimuongezee tofali anaanza ujenzi yan kanishangaza sana, hata kuzuga kashindwa na mbaya zaidi anakomaa kudai!!Duuuhhh shida yenu ,,demu umekutana naye humu ,,miezi mitatu unataka kumuoa ,,baada yandoa unarudi kulalamika tena teheeee.
Guys give yourself space ...ukitaka kujua kwann ndoa zazaman zilidumu waulizee wazeee ....hawa wanawake Wa wasap ,insta ,fb ,jf,, sio wakukurupukia kuoa yahitaji muda yaaan muda wakutosha .