Upelelezi haujakamilika,sasa why upelekwe mahakamani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upelelezi haujakamilika,sasa why upelekwe mahakamani???

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHAI CHUNGU, Jun 5, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu mimi nina swali,nimekua nikisikia na kufatilia kesi za watu fulani fulani hapa tz,na ktk mala zote huwa kuna kausemi kwamba upelelezi haujakamilika so inapigwa tarehe nyingine,ukipangiwa tar nyingine unaambiwa tena upelelezi haujakamilika.
  Sasa kama ushahidi hujakamilika why upelekwe mahakamani?kwanini usikae"lupango"hata kama ni mwaka mzima ili ushahidi/upelelezi ukamilike kwanza?
  Wanasheria msaada tafadhari:
   
 2. M

  Mzee Kabwanga Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya jinai .Polisi wamepewa uwezo wa kukamata na kupeleleza vile vile baada ya kukamata sheria hiyo inawataka kumfikisha mtuhumiwa kwa hakimu baada ya saa 24 toka kukamatwa kwake.Hata na kufikishwa mahakamani polisi haiwazui kufanya upelelezi ukiwa magereza au ukiwa umepata dhamana.
   
 3. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  wana JF mi nilikamatwa tarehe 27 may 2012 nikaswekwa sell kwa tuhuma yakujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu hadi leo sijapelekwa mahakamani na niko huru ,wakati si kweli mimi ndo nilifungua case ya kuvunjwa kwa mkataba wetu na case iko mahakamani ni aje hii ?
   
Loading...