Sikupata nafasi hiyo.Uko sahihi.
je, uliwahi kujaribu kuupanda Kilimanjaro?
Cheki Pm Mkuu.Kama mzawa hivi nahitaji budget ya shilingi ngapi kupanda mlima
Mkuu ingependeza uweke Hapa Makadirio...pia na route. Najua Wewe Ni mdau was haya MamboCheki Pm Mkuu.
Hiyo picha nilipiga mimi mkuuMkuu hii picha ulipiga ukiwa kwenye ndege??

