Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,195 Mar 23, 2021 #1 Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Mar 23, 2021 #2 OKW BOBAN SUNZU said: Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya Click to expand... Tayari.
OKW BOBAN SUNZU said: Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya Click to expand... Tayari.
George Barran JF-Expert Member Joined Sep 2, 2015 Posts 654 Reaction score 1,301 Mar 23, 2021 #3 Sie wajeda tumeshalipwa tayal
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 5,033 Reaction score 15,580 Mar 23, 2021 #4 Vumilia ndugu mtumishi, msiba huu kwa doto ni mzito zaidi, amefiwa na bosi wake ambaye pia ni mjomba wake. Baada ya mazishi atabonyeza batani.
Vumilia ndugu mtumishi, msiba huu kwa doto ni mzito zaidi, amefiwa na bosi wake ambaye pia ni mjomba wake. Baada ya mazishi atabonyeza batani.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,374 Reaction score 88,603 Mar 23, 2021 #5 George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Wajeda si mnachukua tar 14 na 24 na 5?
George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Wajeda si mnachukua tar 14 na 24 na 5?
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,599 Mar 23, 2021 #6 George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Nyinyi lazima wawalipe wakitaka wasitake, sasa kisanga kiko kwa walimu, madoctor nk
George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Nyinyi lazima wawalipe wakitaka wasitake, sasa kisanga kiko kwa walimu, madoctor nk
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Mar 23, 2021 #7 George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Saluti sana kwenu,ndio maana nami natafuta manzi wa kijeda,yeye akiwahishiwa na mie nikicheleweshewa maisha yanasonga mbele
George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Saluti sana kwenu,ndio maana nami natafuta manzi wa kijeda,yeye akiwahishiwa na mie nikicheleweshewa maisha yanasonga mbele
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,764 Reaction score 55,470 Mar 23, 2021 #8 Mshahara tayari
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,704 Reaction score 7,409 Mar 23, 2021 #9 mwarobaini_ said: Vumilia ndugu mtumishi, msiba huu kwa doto ni mzito zaidi, amefiwa na bosi wake ambaye pia ni mjomba wake. Baada ya mazishi atabonyeza batani. Click to expand... Kubonyeza batini maana yake nini
mwarobaini_ said: Vumilia ndugu mtumishi, msiba huu kwa doto ni mzito zaidi, amefiwa na bosi wake ambaye pia ni mjomba wake. Baada ya mazishi atabonyeza batani. Click to expand... Kubonyeza batini maana yake nini
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,374 Reaction score 88,603 Mar 23, 2021 #10 Freed Freed said: Kubonyeza batini maana yake nini Click to expand... Kubonyeza batani si ndio kuruhusu mpunga utoke??
Freed Freed said: Kubonyeza batini maana yake nini Click to expand... Kubonyeza batani si ndio kuruhusu mpunga utoke??
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,975 Reaction score 14,393 Mar 23, 2021 #11 King Kong III said: Wajeda si mnachukua tar 14 na 24 na 5? Click to expand... Bado haujatoka.
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,975 Reaction score 14,393 Mar 23, 2021 #12 George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Bado bwana acha kuwarusha maajabu yanategemewa ndani ya siku 3 zijazo kuanzia kesho.
George Barran said: Sie wajeda tumeshalipwa tayal Click to expand... Bado bwana acha kuwarusha maajabu yanategemewa ndani ya siku 3 zijazo kuanzia kesho.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Mar 23, 2021 #13 Loftins said: Bado bwana acha kuwarusha maajabu yanategemewa ndani ya siku 3 zijazo kuanzia kesho. Click to expand... Hata mie nimeshangaa sana,Tupo pamoja sana
Loftins said: Bado bwana acha kuwarusha maajabu yanategemewa ndani ya siku 3 zijazo kuanzia kesho. Click to expand... Hata mie nimeshangaa sana,Tupo pamoja sana
D dani wa kg Member Joined Jan 24, 2021 Posts 9 Reaction score 32 Mar 23, 2021 #14 Loftins said: Bado haujatoka. Click to expand... ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi
Loftins said: Bado haujatoka. Click to expand... ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Mar 23, 2021 #15 dani wa kg said: ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi Click to expand...
dani wa kg said: ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi Click to expand...
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,028 Reaction score 46,858 Mar 23, 2021 #16 May mos may mosi is around the corner. Kipimo cha kwanza cha raisi samia. Ni ama akubalike ktk jamii ya watumishi au na yeye apitie njia ile ile ya magufuli.
May mos may mosi is around the corner. Kipimo cha kwanza cha raisi samia. Ni ama akubalike ktk jamii ya watumishi au na yeye apitie njia ile ile ya magufuli.
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,975 Reaction score 14,393 Mar 23, 2021 #17 dani wa kg said: ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi Click to expand... Ni maoni yako chief umeyatoa na nimeyapuuza. Alafu nini maana ya wajeda?
dani wa kg said: ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi Click to expand... Ni maoni yako chief umeyatoa na nimeyapuuza. Alafu nini maana ya wajeda?
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Mar 24, 2021 #18 πππ
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Mar 25, 2021 #19 Embu kuweni serious basi mmelipwa au bado hamjalipwa?
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,337 Reaction score 9,079 Mar 26, 2021 #20 Adsense wametoa?