ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Majina ya vimbunga hutoleea na sehemu husika kinapotokeaHaya majina huwa yanapatikana vp kitofautisha kimbunga me na kewapi mkuu?
Hakika sio jambo la kuombea litokeeArusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Kama umeme walikata mpaka huku Arusha, sisi tunahusika vipi na hicho kimbunga?Umeme ushakatwa baadhi ya maeneo. Ninaripoti nikiwa mbezi
Ilikua kipindi Cha Giza.Arusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Watajeni mawaziri wanaomtukana mama turudishe umeme.Kama umeme walikata mpaka huku Arusha, sisi tunahusika vipi na hicho kimbunga?
Hii no hatari
Hii ni hatari
🤣🤣 ila Tanesco hapana. Nahisi walikata Arusha nzimaKama umeme walikata mpaka huku Arusha, sisi tunahusika vipi na hicho kimbunga?
Nimkali bado haujafika unakasi ya km120 kwa saaMimi nikajua kimbunga cha maana kumbe mweeee!! Hakuna kitu hapo miyeyusho
Usikae pekee yako. Kuwa na mtu pembeni yako umng'ang'anie.Daktari niko hooves hatari
100km/h?Leo mchana kitapita kuanzia saa 9 mchana hadi 11 jioni kwa kasi ya 100km/h
Naikumbuka,ilikuwa 2019 mwishoniArusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Mkuu hali ipoje generallyHuku mafia ndo hatari tupu hakuna aliotoka nje
upepo mkali sana pamoja mvua kubwa dua zenu ila hatari sanaMkuu hali ipoje generally
Kama hii hali tuliyokesha nayo ni bado uko njiani, kikifika chenyewe hali ni tete.Nimkali bado haujafika unakasi ya km120 kwa saa