ANGALIZO: Tusiwanyanyapae wale wanaopata maambukizo kwa kuwa siyo self infliction disease na nchi iendelee na mipango yake bora tunayoiona kila kukicha - usiku na mchana[emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Hii ndiyo mfano wa deficity and insufficience ya sheria tunazotunga zinakuwa rules and siyo sheria. Sheria lazima iwe ama iangalie exceptions. Magonjwa ya milipuko siyo magonjwa ya kufedhehesha wala kubeza na hivyo kutangaza ilipasa kwa kuwa inaweza kuponya kuanzia familia yake, jiarani yake, wafanyakazi wenzake ama watu wengine tu. Hii sheria inafanya kuwe na deficity ya benefit ya sheria yenyewe katika circumstance ya magonjwa ya milipuko. Magonjwa ya milipuko yana pattern mbaya sana na hayajali na mtu yeyote ni susceptible. Tumeona duniani jinsi hadi wataalamu wa afya wamekwenda tena waliobobea katika virology specifically huyu CORONA wamekwenda. Sasa tunaficha kwa faida ya kuzuia maambukizi au kwa faida ya wizara ya afya au kwa faida ya mgonjwa dhidi ya umati wa wananchi wote? From layman point of view hili haliko sawa hasa katika magonjwa ya milipuko...hii rule irekebishwe iwe sheria including exceptions hizi. Sheria without exception is a blind sheria na hivyo haiwezi kuona haki, ikiwa kipofu atatakiwa kuona dunia itapita na vitu vyake vyote. Sheria inakuwa sheria ikiwa na makali yake, considerate, covering exceptions ili iweze kutoa haki. Hapa kwenye magonjwa ya mlipuko ... hii sheria imetunyima haki watanzania .. hata hii ya kujua tu .. ili kuchukua tahadhari. Tahadhari ni pana na kwanza inahitaji habari kamili na sahihi.. mfano sasa tunaangalia sana na kusema mkuu umetoka nchi zenye mlipuko .. tukupime na tunakushuku kwa hali ya juu zaidi. Sasa hii ni habari inavyoweza kusaidia dhidi ya tahadhari.. pamoja na mambo mengine mfano umri, magonjwa mengine (pre-existing disease conditions) na habari zote zinazopasa kujumuishwa katika tahadhari. Hii ndiyo habari kamili na sahihi. Vinginevyo umri wa mgonjwa pia ni habari ila si kamili, jinale nani, kabila gani, anaishi wapi anafanya nini, amepataje uambukizo, alitembelea maeneo gani kabla na baada ya uambukizo. Nadhani hili lipitiwe upya na waziri mwenye dhamana na awatendee watanzania haki kupitia bunge tukufu?.
Tuendelee na tahadhari, usafi, usafi, usafi, social distancing, stay alert and vigilant, tule milo kamili, tufanye mazoezi, tupumzike vya kutosha, tuwe na muda wa furaha kupunguza stress pia inapunguza kinga ya mwili,
ANGALIZO: Tusiwanyanyapae wale wanaopata maambukizo kwa kuwa siyo self infliction disease na nchi iendelee na mipango yake bora tunayoiona kila kukicha - usiku na mchana
Nawasilisha
Wale wanaoumwa corona, hivi wakikohoa wanatokwa na damu?Mimi mchai mchai ndiyo ulioniokoa na vitunguu swaum.
Unakohoa mpaka damu, kifua kinabana balaa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wale wanaoumwa corona, hivi wakikohoa wanatokwa na damu?
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Wakristo tunatia aibu Sana, ukifikiri Sana hata Mambo ya kukanyaga mafuta hayana tofauti na haya alifinywa anaweza kukana hakuwaambia wayakanyage🙄🙄🙄
Ni vile hatupimi tu utakuta wengi tutakua na corona uzuri haina madhara makubwa kwetu*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!![emoji848] Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*
[emoji634] Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
[emoji631] United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
[emoji632] France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
[emoji629] Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
[emoji633] Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
[emoji1130] Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa [emoji1221]
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.[emoji22]
*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .
*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*[emoji1431]
Jr[emoji769]
Mkuu hizi taarifa sio za kweli imgekuwa njema uzifute tuu.Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.
Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.
Ambavyo ni:
* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *
Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu
kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa
Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.
Jr[emoji769]