Updates: Yanga vs Thika Utd

Updates: Yanga vs Thika Utd

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,739
Wadau niko mbali kiasi kwamba sipati hata redio moja inayotangaza mpambano kati ya yanga na Thika utd ya Kenya.....Kwa mwenye tarifa updates pleas
 
Jamani aliyeko karibu atuambie mambo ya Coutinho na Jaja
 
nasikia Mikia FC walikuwepo kukumbuka ZESCO
 
yani yanga pamoja na wabrazili wote wote hao halafu wanashinda goli moja tu:A S-eek:
 
Back
Top Bottom