Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Nawaombea sana wapate nguvu na roho ya kumfukuza Rowassa


Kinakupwita mpaka unakosea spelling kamwambieni huyo mamba mpika majungu wenu akakeshe kwenye mdimu urais hapati ng'oo
 


hizo ni thread za akina Yeriko wala huo sio uthibitisho halisi wakutuonesha kuwa lowassa alitumia fedha hizo kinyume na matumizi kusudiwa.


Je! huo ndio uthibitisho pekee wa ufisadi wa Lowassa?

Kwanini msituwekee ushahidi EPA,RICHMOND na ESCROW tuone aliiba kiasi gani???

kama hamna uthibitisho wa wizi na ufisadi wa lowassa FUNGENI MIDOMO NA MUACHE CHUKI NA UNAFIKI.
 
Kweli JF imetoka mbali...na imeanza kuzeeka. Back in the days, tungeshuhudia chanzo cha kuaminika kikitiririka live&direct from Dodoma. We have now resorted to speculations due to absence of such reliable sources
Mkuu tatizo siyo jf tatizo watu wanajisahau wanajua huku ni facebook.
 

Mh! Yaan mpaka muone mvua imenyesha na Safina linaelea ndo mtajua kuwa gharika hili hapa.

Akheri yuke asadikiye si kwa kuona tu.

Mkuu; tuweke shilingi hapa. Utaniambia na Lowasa wako.
 
Bavicha kwa matusi bana.
......Wee nawe usiwe kama kipofu, umeona alichoadnika huyo mwenzio hapo juu au unaropoka tu!!. Nani kakuambia mimi BAVICHA? Unadhani ukileta upunguani wako humu nitaogopa kukujibu kisa utaniita BAVICHA?.

Ebu na wewe tutolee mguo wako wa kijani kwenye Avatar kama Inzi wa chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…