Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Updates: Yanayojiri CC ya CCM

mpambe

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
133
Reaction score
41
Wana jukwaa leo ndio maamuzi ya adhabu waliopewa vigogo wa ccm.. Ndg Lowassa.. Membe.. Ngeleja n.k. Mwenye taarifa ya kinachojiri kwenye kikao cha cc leo jumamosi tarehe 28 atujuze..
 
LOWASSA HAFUKUZIKI CCM HATA IWEJE MLISHACHELEWA SAAANA TU.

Mtandao wa Laigwanan Eddo ni Mkubwa mno Nchi hii wakithubutu kumuengua Moto utakaowawakia Magamba hakuna wa kuuzima ukomo wa siasa za CHAMA CHA MAPINDUZI utakuwa umefika.

NA WATAKAOFAIDIKA NI UKAWA KUSHINDA KWA KISHINDO BILA USHINDANI WOWOTE.
 
MZEE WA TUPA TUPA LUMUMBA is a genuine source, huyo jamaa yupo makini mno atakuja hapa baadae forget about Pasco
 
Last edited by a moderator:
LOWASSA HAFUKUZIKI CCM HATA IWEJE MLISHACHELEWA SAAANA TU.

Mtandao wa Laigwanan Eddo ni Mkubwa mno Nchi hii wakithubutu kumuengua Moto utakaowawakia Magamba hakuna wa kuuzima ukomo wa siasa za CHAMA CHA MAPINDUZI utakuwa umefika.

NA WATAKAOFAIDIKA NI UKAWA KUSHINDA KWA KISHINDO BILA USHINDANI WOWOTE.

Wamchukue ukawa kama ilivyokuwa kwa John Shibuda
 
Back
Top Bottom