BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 Apr 13, 2014 #4,061 Hongera Azam!!!simba na yanga endeleeni na kamati zenu za ufundi
Noriega Jr Senior Member Joined Apr 12, 2014 Posts 168 Reaction score 59 Apr 13, 2014 #4,062 Nilitamani sana hawa vijana wachukue ubingwa bora imekuwa hivyo, Tumechoka na simba na yanga timu zisizo na maendeleo ujanja ujanja tu hata viwanja hazina club hata kituo cha radio hazina zote zinakaribia umri wa miaka 50 hovyo kabisa
Nilitamani sana hawa vijana wachukue ubingwa bora imekuwa hivyo, Tumechoka na simba na yanga timu zisizo na maendeleo ujanja ujanja tu hata viwanja hazina club hata kituo cha radio hazina zote zinakaribia umri wa miaka 50 hovyo kabisa
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 14, 2014 #4,063 sungura1980 said: Skype hadi huku kwenye soka unatupatia matokeo?!!Asante sana mkuu!Ee Mungu tusaidie Yanga tuendelee kuwa mabingwa Click to expand... Mkuu popote ulipo nakutaarifu tu kua kwa sasa mabingwa wa soka Tanganyika ni AZAM FC
sungura1980 said: Skype hadi huku kwenye soka unatupatia matokeo?!!Asante sana mkuu!Ee Mungu tusaidie Yanga tuendelee kuwa mabingwa Click to expand... Mkuu popote ulipo nakutaarifu tu kua kwa sasa mabingwa wa soka Tanganyika ni AZAM FC
ISSA SHARAFI JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 407 Reaction score 75 Apr 16, 2014 #4,064 Hongera kwa hilo