hongereni Mlungula FC nyie si wakwanza. alikuja Mtibwa akabeba ubingwa mara mbili, sasa yuko dhoofu bin hali. alikuja Moro United pia, sasa sijui yuko wapi
Hivi ubingwa ni hadi achukue yanga tu? Kuna watu washaamini hivyo maishani mwao na hata TFF wanaweza amua rufaa kishabiki ili yanga awe bingwa. Kweli hii nchi ya mazuzu!