VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Taarifa zilizopo, na nyeti bila vumbi, ni kwamba jana tarehe 5 September 2025, watu wanaohisiwa kuwa ni M23(wengine siwataji ila hakika wanajulikana). Waliingilia mfumo wa uwanjani hapo,ulioletwa na serikali ya Belgium. Kwa muda wa nusu saa,inasemekana taarifa mhimu zilizokuwa zinahitajika zipo mikononi mwa wahusika.
Wakati huo,mji wa Uvira hali si shwali,kutokana na risasi zinazoendelea kulindima, huku badhi ya wanajeshi wa DRC na wa Burundi wakivuka kwenda nchini Burundi. Hata hivo, ni kwamba milima yote inayouzunguuka mji huo,ipo mikononi mwa M23, na Uvira ni mji uliopo kwenye tambalale la usawa wa Bujumbura, km 40 tu kufika uwanja wa ndege wa Bujumbura hapo.
Raia wa Burundi baada ya kuona wanajeshi wengi wanavuka kuelekea Congo, walidai wanahofia usalama wao,kutokana na kurudi kwa wingi kwa vijana wa Imbonerakure na wanajeshi waliokuwa wameenda kutoa msaada wa kijeshi, na magari yanayorudi yamefunikwa turubai,mengine yakiwa na damu, kinachoonekana kuwa ni maiti nyingi. Hivyo,wanahisi M23 itawafuata mpaka kwao.