Updates usaili TBS!

FAFI

Member
Jun 9, 2015
36
0
Samahanini wakuu kuna watu wanasema TBS hawatoi majina ya usaili mpaka uchaguzi mkuu upite...Hivi kuna ukweli kuhusu hili?? Na kama kuna ukweli naomba tusipige kura
 
Wameita watu kqenye usaili mbona, wewe kama hujaitwa ujue huhafanikiwa, mdogo wang aliomba nafasi tatu zote kaitwa.

Msidanganyane wakuu.
 
Wameita watu kqenye usaili mbona, wewe kama hujaitwa ujue huhafanikiwa, mdogo wang aliomba nafasi tatu zote kaitwa.

Msidanganyane wakuu.

Nadhani ingekua vizuri kama ungeweka kua huyo mdogo wako ameitwa kwa njia ipi, simu, email au tangazo na chanzo ni nini na lini wanaenda kwenye usaili ndiyo utakua umetusaidia sisi wengine.
 
TBS huwa wanatoa majina ktk website yao tu huwa hawapigi simu, mimi sijaona majina na kila siku huwa nafungua
 
du jaman kaz kwel kwel kwann wasiwe waz kama kwel wametoa? asanten kwa taarfa mawazo yangu watatumia cm kumbe n web yao 2 da pamoto hapo, kuwasaidia na wengne n bora mtu apatapo matokeo hayo atoe taarfa jf
 
Karibu ndg, Majina ya walioitwa kwa ajili ya Usaili wa BOT yanapatikana kwenye mtandao. Tembelea mtandao wetu wa jfasta.com (www.Jfasta.com ) utayapata majina yote sasa.

Endelea kutembelea www.Jfasta.com
 
Back
Top Bottom