Leo kuna uchaguzi mdogo hapa Kinondoni kwa ajili ya wajumbe wa serikali za mtaa pamoja na wenyeviti wa mtaa.
Nitajitahidi kuwapa kinachoendelea.
===== Updates =======
Nitajitahidi kuwapa kinachoendelea.
===== Updates =======
Hali ya upigaji kura ni shwari lakini asubuhi kulikuwa na vurugu kidogo mtaa wa hananasifu baada ya makamanda wa REDBRIGED kuwagundua wapiga kura bandia walioletwa toka bunju ambao ni mabalozi wa ccm bunju.
Mtaa wa hananasifu Kamanda Ngowi anawakoromea polisi kuwaondoa kinamama wa CCM wanaopiga kampeni kwa kisingizio ati wanauza maji