Updates SSRA

Updates SSRA

ikersmn

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
18
Reaction score
16
Vp kuna yoyote mwenye taarifa za hawa jamaa kama wameita watu?
 
Management Information System Officer II

kaka hao kazi zilitangazwa kupitia secretarieti ya ajira hvyo tuendelee kucheki web yao, kwani hata zile kazi za computer system analyst za e-governancy nazo hawajaita bado na zilitangazwa mapema kabla ya hzi za ssra.
 
Back
Top Bottom