Shakazulu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 957 Reaction score 283 May 6, 2012 #21 Kimbojo said: Inaonekana unabahatisha vikosi; Omega Seme wa Yanga yuko na timu ya vijana sudan, au wamerudi leo? hata kama amerudi si rahisi apangwe leo......... Click to expand... Kama nabahatisha ni sawa tu!
Kimbojo said: Inaonekana unabahatisha vikosi; Omega Seme wa Yanga yuko na timu ya vijana sudan, au wamerudi leo? hata kama amerudi si rahisi apangwe leo......... Click to expand... Kama nabahatisha ni sawa tu!
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #22 Kuna mabadiliko kidogi vikosi vya Yanga, namba saba ni Rashi Gumbo, kumi Kiiza na kumi na moja ni Nurdin Bakari, Asamoah na Shamte Ali hawajaanza. kikosi cha Simba kiko kama nilivyowatajia hapo mwanzo.
Kuna mabadiliko kidogi vikosi vya Yanga, namba saba ni Rashi Gumbo, kumi Kiiza na kumi na moja ni Nurdin Bakari, Asamoah na Shamte Ali hawajaanza. kikosi cha Simba kiko kama nilivyowatajia hapo mwanzo.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #23 Watu wanashangilia hapa baada ya kuona warembo wawili wamebeba kombe la ligi kuu.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #24 Kwa mlioko nyumbani TBC Taifa wako hewani, dakiki ya pili Simba wanapata bao.
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 May 6, 2012 #25 Masuke said: Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City. Click to expand... hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0
Masuke said: Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City. Click to expand... hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 May 6, 2012 #26 Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #27 Mpambano ni mkali sana.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #28 bemg said: hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0 Click to expand... Asante mkuu, huku taifa Mnyama anaongoza kwa goli la mapema lililofungwa na Emmanuel Okwi.
bemg said: hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0 Click to expand... Asante mkuu, huku taifa Mnyama anaongoza kwa goli la mapema lililofungwa na Emmanuel Okwi.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #29 Yanga wanafanya shambulizi kali kweli.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 May 6, 2012 #30 Masuke said: Kwa mlioko nyumbani TBC Taifa wako hewani, dakiki ya pili Simba wanapata bao. Click to expand... Ume tune ngapi? mi niko dar
Masuke said: Kwa mlioko nyumbani TBC Taifa wako hewani, dakiki ya pili Simba wanapata bao. Click to expand... Ume tune ngapi? mi niko dar
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 May 6, 2012 #31 duu safi sana okwi
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #32 dak ya 15, Simba 1-0 Yanga.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 May 6, 2012 #33 Jamani hio tbc inapatikana wapi kwa dar? maana nime tune wee nikaishia kuipata mechi ya man city
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #34 elli said: ume tune ngapi? Mi niko dar Click to expand... 92.3 fm
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #35 Elli said: Jamani hio tbc inapatikana wapi kwa dar? maana nime tune wee nikaishia kuipata mechi ya man city Click to expand... Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FM
Elli said: Jamani hio tbc inapatikana wapi kwa dar? maana nime tune wee nikaishia kuipata mechi ya man city Click to expand... Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FM
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,192 Reaction score 678 May 6, 2012 #36 off time Man City 0 na wale wengine 0
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 May 6, 2012 #37 Masuke said: 92.3 fm Click to expand... Duh thanks nimeipata but full mawimbi yaani haisikiliziki hata kiduchu
Masuke said: 92.3 fm Click to expand... Duh thanks nimeipata but full mawimbi yaani haisikiliziki hata kiduchu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 May 6, 2012 #38 Masuke said: Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FM Click to expand... Ok mpwa nimeipata nashukuru tuko pamoja sana
Masuke said: Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FM Click to expand... Ok mpwa nimeipata nashukuru tuko pamoja sana
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,505 May 6, 2012 Thread starter #39 Masuke said: Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City. Click to expand... new castle 0 man city 0
Masuke said: Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City. Click to expand... new castle 0 man city 0
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #40 Emmanuel Okwi kapata majeraha hapa na anapata matibabu baada ya kugogangana na Nsajigwa na amesharudi uwanjani.
Emmanuel Okwi kapata majeraha hapa na anapata matibabu baada ya kugogangana na Nsajigwa na amesharudi uwanjani.