Updates..PASADA NA TOTAL TANZANIA

Updates..PASADA NA TOTAL TANZANIA

PLL

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
882
Reaction score
400
Wapendwa mu hali gani?Haya mashirika mawili yalitangaza nafasi za kazi siku kadhaa zilizopita,me na wenzangu tumekua tukisubiri taarifa yoyote lakn kimya,vp jamani kuna anaejua lolote?
 
kiukweli hata mie kuna mdau wangu alikuwa anasikilizia bado hajapata taarifa yoyote mpaka sasa!
 
Back
Top Bottom