Updates: Orodha Ya Watumishi Wanaodai

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hbr Jf.Napenda Kuwajulisha Kuwa Nimefanikiwa Kuona Page Tatu Za Orodha Ya Watumishi Wanaodai Nimemwona Wife Alikuwa Anadai Laki 7 Kaandikwa Anastahili Laki Tano Na Tisini Elfu 590000 Lakini Sio Mbaya Bora Alipwe Tu.Nazi Upload Mtandao Unayumba Kidogo.
 
Daah kuna watumishi wanadai katika serikali hii ya nchi tajiri??!!!
 


Mmh hiyo list ipo wapi? Kuna mtumishi ananipiga chenga kulipa kodi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…