mama wa wili
Member
- Jun 10, 2014
- 40
- 6
Kwa alie pangiwa kazi katika ofisi hii naombakujua kinachoendelea, maana mi waliniambia watanipigia simu ila hadi leo bado hawajapiga.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
Ilikua ni Dar @ Chagga
kwa alie pangiwa kazi katika ofisi hii naombakujua kinachoendelea, maana mi waliniambia watanipigia simu ila hadi leo bado hawajapiga.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
Kwa alie pangiwa kazi katika ofisi hii naombakujua kinachoendelea, maana mi waliniambia watanipigia simu ila hadi leo bado hawajapiga.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
Kwa alie pangiwa kazi katika ofisi hii naombakujua kinachoendelea, maana mi waliniambia watanipigia simu ila hadi leo bado hawajapiga.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
hivi hawa jamaa wana ofisi mikoani?
kwa uelewawangu wanatakamuanze kazi tarehe 01/09/2014, hawataki muwadai arrears za mshahara,
hongera sana mimi pia kuna mdogo wangu kapangiwa pale na utumishi kwenda kuwa mchumi. soon mtapigiwa
simu mkaripoti hiyo tarehe 01/09/2014.
Mkuu mbona mimi sijapigiwa na wamepiga simu saa ngapi??