Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Uodate ni kwamba hadi sasa simba haijulikani ilipojificha
 
Simba 0-2 Mbeya City. Matokeo ndio hayo
 
Umewahi sana ungeziona tu mda wao ukifika.....
 
Naona rage mdomo umejaa povu.mwantika anawafanya vibaya leo hii du mungu peleka kirio msimbazi.
 
Umewahi sana ungeziona tu mda wao ukifika.....

Dah......basi samahani mkuu,

Unajua tumezoea sana kuona updates zikiingia humu ndani saa 12 asubuhi na hasa kama kuna mechi zile za simba na yanga,sasa saivi ni saa12?!
 
Dah......basi samahani mkuu,

Unajua tumezoea sana kuona updates zikiingia humu ndani saa 12 asubuhi na hasa kama kuna mechi zile za simba na yanga,sasa saivi ni saa12?!
Hata wewe haujakosea kuanzisha Kwani hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kuanzisha.
 
Kila sehemu ya mbeya ni bendera za mbeya city na mabango makubwaaa, kweli mnyama lazma aingie upepo
 
Hata wewe haujakosea kuanzisha Kwani hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kuanzisha.

Ahsante sana mkuu,unajua mkuu Kitoabu huwa nashangaa sana kuna watu huwa wanaunyanyapaa sana kwenye majukwaa na hasa hili la Sports!!

Hii tabia sio nzuri sana na inatoa ishara tosha namna ambavyo watanzania wapo!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona zipo mi nimeiweka hewani toka jana naweka matukio yote

Mkuu nimeiona baada ya kupost hii yangu lakini nimetafuta majukwaa yote sikuona thats why nimepost hii nikiuliza,ila sio mbaya niwaombe mods kama hakuna tatizo basi waiunganishe hii post yangu na yako ya jana ili twende sambamba!
 
Asante mkuu hakijaribika kitu sisi tunajenga nyumba moja tusigombanie fito
Mkuu nimeiona baada ya kupost hii yangu lakini nimetafuta majukwaa yote sikuona thats why nimepost hii nikiuliza,ila sio mbaya niwaombe mods kama hakuna tatizo basi waiunganishe hii post yangu na yako ya jana ili twende sambamba!
 
Mkuu hamna shida ntaendelea tiketi yangu ya buku5 ipo mkononi toka sa3
mkuu ndomyana alikuwa anatumegea kila kinachoendelea tangia jana.
kama vipi aendeleze updates zake katka huu uzi mpya, sbbu leo ndio game yenyewe.
kila la kheri Mbeya city.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…