Updates: Mkutano wa Lema na Kafulila Kahama

Updates: Mkutano wa Lema na Kafulila Kahama

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
lema anasema "kikwete hii nchi si ya babako wala ya mamako nchi ya watanzania wote nitaendelea kuongoza arusha kwa kura,kwa kuomba,kiparoko,hata KIBABE " lema anasema rais anapasuliwa busha ? muda huu lema anaigiza sauti za rais kikwete akihutubia alipotoka marekani kutibiwa ,anaendelea kwa kusema bullshit ccm,pia kamanda LEMA anasema akipata wanaume wenzake 1000 wenye roho kama yake basi mwezi october ni mbali sana . KAFULILA ANASEMA "ngoma ya escrow bado mbichi sana watanzania wasubiri ngoma ianze upya"
 
Picture
 

Attachments

  • 1431182878226.jpg
    1431182878226.jpg
    36.4 KB · Views: 4,136
  • 1431182912718.jpg
    1431182912718.jpg
    34.3 KB · Views: 3,658
  • 1431182949370.jpg
    1431182949370.jpg
    40.4 KB · Views: 2,534
  • 1431182981058.jpg
    1431182981058.jpg
    37.5 KB · Views: 2,496
Pictures
 

Attachments

  • 1431184106051.jpg
    1431184106051.jpg
    28.7 KB · Views: 2,093
  • 1431184126910.jpg
    1431184126910.jpg
    27.1 KB · Views: 1,780
Truth will make you to be free.GO SIR LEMA bt uwe makini na sheria yao ya mitandao.
 
Huo ujumbe wa kamanda Lema si kwa Mkuu wa Magamba tu bali hata huyu DAS wa Korogwe umfikie pale alipo!
 
du! hii sasa sifa si watamuua mtabiri wasira kwa presha jaman mara wengne wako mtwara yan cdm mshamzidi mpaka mcharo
 
Back
Top Bottom