Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
4,043
Reaction score
1,012
Mkutano umeanza hapa Njombe kwa watu kumiminika kwa kasi. Ila mgeni wetu rasmi Salim Mwalimu naibu katibu mkuu Zanzibar bado hajafika. Ila Kamanda Rozi Mayemba anawatambulisha makamanda mbalimbali.

Salim Mwalimu ameingia sasa picha nitatuma

Wakuu...
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Kamanda Salim Mwalimu kutoka zanzibar anafanya yake ndani ya mkoa wa Njombe muda huu

Watu wamefurika kwelikweli.ni kelele kila kona...
Nawaletea kila kinachojiri hapa
.

attachment.php
attachment.php

attachment.php

Salimu Mwalimu anashangiliwa sana kwa nondo anazozitoa za busara sana
Anaelezea jinsi wanavyoandamwa. Anatolea mfano tukio la Bariadi la kufyatua risasi
Wanainchi washangilia sana Mwalimu akielezea ratiba ya chadema inavyokwenda
Anazungumzia jinsi mchakato wa katiba ulivyoendeshwa kibabe na kuto kuzingatia maoni ya wananchi.
Anaeleza jinsi ccm inavyoligombanisha jeshi la polisi na wananchi. Anamuomba IGP awe makini na mchezo mchafu wa ccm.
Anaiomba tume ya uchaguzi nayo iwe makini sana na huu mchezo mchafu wa ccm
Mwalimu amemaliza mkutano Mungu ambariki sana.
Wanachi wa Njombe wamchangia Mwalimu Tsh 1135000 kwa moyo mmoja naye amelipa jimbo 635000 ziendeleze harakati ndani ya jimbo Mungu mbariki Mwalimu
 
Attachments

  • mwalimu1.jpg
    mwalimu1.jpg
    36.8 KB · Views: 6,870
  • mwalimu2.jpg
    mwalimu2.jpg
    45.6 KB · Views: 6,669
  • mwalimu3.jpg
    mwalimu3.jpg
    36.9 KB · Views: 6,417
Man power ya hiki chama ni kiboko, ntaleta uzi!
 
Wakuu...
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Kamanda Salim Mwalimu kutoka zanzibar anafanya yake ndani ya mkoa wa Njombe muda huu

Watu wamefurika kwelikweli.ni kelele kila kona...
Nawaletea kila kinachojiri hapa.
 
Kula la kheri makamanda picha muhimu sana ili ujumbe ufike kwa watanzania wengine
 
Asante mayemba....nipo Simiyu huku...nafuraaahi kama utaweka hapa niufuatiliye
 
TULISHA MALIZA ACT-WAZALENDO; TUKIRUDI TUTAPATA TAARIFA KAMA BUTIAMA.

MAKAMBAKO

attachment.php
 
Hakikwanza,

.taarifa hizi zinatia matumaini kwasababu sasa CDM iko active kila pembe ya Tanzania.

..pamoja na habari hizi njema, nina wasiwasi kwasababu sijasikia kina mama wa cdm wakifanya mikutano au harakati za kisiasa hivi karibuni.

..hawa kina mama wasije wakatuangusha. hebu wakumbusheni kufanya mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, pamoja na kampeni za nyumba hadi nyumba.

NB:

..baada ya uchaguzi mkuu wa chadema nilikuwa na matumaini makubwa sana na jumuiya ya wanawake.

..matumaini hayo yalitokana na mchanganyika wa rika ktk viongozi waliochaguliwa.

cc Mkandara, Kimweri, Nguruvi3, Ben Saanane, Chademakwanza
 
Last edited by a moderator:
Mkutano umeanza hapa Njombe kwa watu kumiminika kwa kasi. Ila mgeni wetu rasmi Salim Mwalimu naibu katibu mkuu Zanzibar bado hajafika. Ila Kamanda Rozi Mayemba anawatambulisha makamanda mbalimbali.

Salim Mwalimu ameingia sasa picha nitatuma

attachment.php
 
Safi sn makamanda kaz inaendelea hatuna maneno meng ni vitendo tu
 
majinga ya ccm ndo yanajidai eti act...chadema hatuna tatizo na act..tunawataka nyie maccm.maana naona siku izi makijani yamebadili id sasa wanajiita act kuikabili ukawa...kila la kheri makamanda
 
Hakikwanza,

.taarifa hizi zinatia matumaini kwasababu sasa CDM iko active kila pembe ya Tanzania.

..pamoja na habari hizi njema, nina wasiwasi kwasababu sijasikia kina mama wa cdm wakifanya mikutano au harakati za kisiasa hivi karibuni.

..hawa kina mama wasije wakatuangusha. hebu wakumbusheni kufanya mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, pamoja na kampeni za nyumba hadi nyumba.

NB:

..baada ya uchaguzi mkuu wa chadema nilikuwa na matumaini makubwa sana na jumuiya ya wanawake.

..matumaini hayo yalitokana na mchanganyika wa rika ktk viongozi waliochaguliwa.

cc Mkandara, Kimweri, Nguruvi3, Ben Saanane, Chademakwanza
Asante Kamanda Nimeongea na Mdee wanafungulia ya Bawacha Kawe juma mosi saa mbili wakitoka hapo watakua vijijini
 
Last edited by a moderator:
cdm ni jeshi la ukombozi , Mungu akilinde sana hiki chama .
 
Back
Top Bottom