UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765

Shamra shamra za mkutano wa chadema utaofanyika leo london zimeshaanza kwa mujibu wa mdau wa Chadema London, Kamanda Cris Lukosi Mkutano utafanyika Thatched House Pub iliyopo Barking leo tarehe 07/08/2012 saa mbili usikU kamanda Godbless Lema atakuwepo kushuhudia ufunguzi wa tawi la CHADEMA London

UPDATES:

Hulu Ndio msikiti wanaosema umenunuliwa na wazanzibari na Ndio wanaotumia kipindi hiki. Hii ilikuwa pub Kama thatch house na ndipo uzinduzi wa tawi la CHADEMA Leo

Maandalizi ya Mkutano

Attachments

  • sio-msikiti.jpg
    48.4 KB · Views: 2,180
  • maandalizi.jpg
    56.2 KB · Views: 2,150
  • mkutano-ukiendelea.jpg
    38.6 KB · Views: 1,257
  • mkutano.jpg
    48.5 KB · Views: 1,244
Safi sana...................twawaitaji mlio ng'ambo mtuunge mkono pia
 
TIyari Watu wameanza kuandika kutosha Marengo mbali mbali za ya London na shughuli yens ewe utaanza saa mbilinyi na unsigned ya Huku London ili WBA wale waisilamu wewe wameshafuturu na kujiunga na safari hii ya uko bozo .
 
Duh! mkuu hizo ni swaga za London au typing errors?
 
Ueleweki andika kiswahili vizuri.
 
TIyari Watu wameanza kuandika kutosha Marengo mbali mbali za ya London na shughuli yens ewe utaanza saa mbilinyi na unsigned ya Huku London ili WBA wale waisilamu wewe wameshafuturu na kujiunga na safari hii ya uko bozo .

Uingereza imekuaribu mpaka lugha yako umeisahau.
 
Vijiji vingi Tanzania hakuna matawi ya chadema mnaenda kufungua matawi uingereza jamani hiki chama na chenyenyewe hiki wasiwasi mtupu!
 
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

wivu ni kidonda ... ukiushiriki utakonda

acha wivu wa kijinga
 
hivi watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za tours, self drive unakodisha vogue halafu unapiga nalo picha.

hahahaha duh kweli wabongo noma kumbe ni za kukodisha khaaaa, lkn m4c iko pale pale
 
faida tano za kufungua matawi ya chama nje ya nchi ni zipi mkuu wakati kuna vijiji kibao tanzania hawajui chadema ni kitu gani?
 
Ueleweki andika kiswahili vizuri.

Piga hizo NO kwa mawasiliano zaidi!

Unajifanya umeshindwa kuelewa kinachoendelea?
Hili la M4c halitawabakiza mafisadi popote pale walipo!
 
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

Mbona poa tu!!!!Hata kina Chizi EX Air Tanzania walienda kukodi ndege na wakapiga nayo picha,na tena kupewa shavu na vyombo vya habari!!!
 
mambo mengine kila kitu nl kuiga kwa ccm, ccm kwanza walieneza chama ndani kisha nje, sasa chadema chama kipo kaskazini kusini hakipo. huu ni ujinga.
 
Naona magamba, mnatetemeka sana kama wachawi wakisikia manyaunyau anaopita, sisi tulipanaga kuzindua m4c kule moro juzi, mkawatumia polisi kuvuruga mpango ule ili tu mtucheleweshe na kututia hasara, sasa ili kuonyesha kwamba mkifunga mlango mmoja mwingine unafunguka, tumeenda kuanzia london halafu tunarudi bongo, m4c forever. Skilizia mavuno kesho hiyo kesho huko moro.
 
Maaana yake nini kufungua tawi la CHADEMA kwenye Bar ya Wa KENYA tena MWEZI WA RAMADHANI.

Au ndio maagizo ya Ndesamburo?

Kwani sheria za mwezi wa ramadhani haziruhusu kufungua matawi?
 
Maaana yake nini kufungua tawi la CHADEMA kwenye Bar ya Wa KENYA tena MWEZI WA RAMADHANI.

Au ndio maagizo ya Ndesamburo?

Human mind is very flexible and that is magical. Alternatively you could see the place as a venue which doesn't bind any one to it as long as you know what brings you there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…