Nadhani intelegensia za mwema leo ziko vizuri,nitashangaa mno zikionyesha uwezekano wa shambulio la alshabab,wakati kwenye msiba wa Kanumba intelegensia hazikuonyesha kama watu watazimia na kupigwa virungu pamoja na kukosa nafasi ya kuaga mwili!
Unajua najiuliza jinsi gani nilivyokua na shauku toka jana naona muda hauendi, hivi wale wanaoendaga kwenye mikutano ya magamba wanakuaga na shauku na moyo kudhamiria kuhudhuria?