Updates: Mkutano wa CCM uwanja wa Gombani, Pemba

Updates: Mkutano wa CCM uwanja wa Gombani, Pemba

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wana jamvi taarifa toka pemba zina arifu kuwa hali ni mbaya katika mkutano ulio kusudiwa kufanyika leo uwanja wa gombani,mpaka muda huu watu wanatafutwa kwa posho lakini bado hali tete,chakushangaza mpaka watoto hawajasogelea uwanja kama ilivyo bara kabla ya mkutano wa ccm watoto wanakua wengi;leo wahutubiaji watahutubia migomba na nyasi chezea wapemba weye! Shaka yangu mkutano unaweza akhirishwa leo
 
Hivi hao INTARAHAMWE WANATAKA KUWAELEZA NINI WAPEMBA?
 
Hilo ni darasa zuri sana, hasa kwa mwanafunzi mwenye utindio wa ubongo
 
duh, hii kali aisee!!

Watu wamekataa hadi posho si mchezo!!
 
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!
 
Hivi hao INTARAHAMWE WANATAKA KUWAELEZA NINI WAPEMBA?
Kwanza hao wapemba bado hawajasahau machungu waliyoyapata mwaka 2001, baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, ambapo hao Intarehamwe walifanya uchakachuaji mkubwa wa matokeo, ambapo wapemba hao walipolalamikia matokeo hayo kwa kufanya maandamano ya amani, Intarehamwe waliamua kutumia vikosi vyao vya usalamaa wa magamba na kusababisha mauaji makubwa ya raia wasio na hatia waliofikia zaidi ya 30, na kusababisha nchi yetu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, kuzalisha wakimbizi, ambao walikimbilia nchini Kenya, jijini Mombasa!!
 
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!

dah! Hii kali. Inamaana watu wakiwanengi kwenye picha inakuwa na uzito zaidi.
 
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!
Wacha kutupiga changa la macho, wewe unwajua wapemba na misimamo yao au unawasikia tu kwenye bomba!
 
Wacha kutupiga changa la macho, wewe unwajua wapemba na misimamo yao au unawasikia tu kwenye bomba!

Mkuu Mystery, wameamua kubadilika, lakini ni kwa leo tu! Njoo na wewe ushuhudie kabla hawajatawanyika.
 
Hiyo ni haki yao. I wish iwe ivyo nchi nzima! Hawa jamaa wafitini na wanafiki sijapata kuona....kama walimgeuka Warioba....na aliyebeba mikoba ya kisheria rasmu ya katiba akauwa with no much investigation by gvt, tu waeleweje?
 
Mwaka huu sisiem watakalia kuti kavu linalotarajia kushikla moto.
 
Back
Top Bottom