Updates: Maendeleo ya afya ya Manumba

jiandaeni kusikia mtu anafanyiwa operation kuondoa malaria mwilini.

kweli kabisa mkuu,kwa viongozi waTz kondoo kuitwa punda si jambo la ajabu lakini hawajui kuwa uongo hauna guarantee unaweza waumbua mda wowote,kama kweli malaria ya manumba hii ikisambaa Tz akina nani watasalimika,tuombe Mungu iishie kwa manumba pekee wengine isituguse!
 

Ni Malaria ambayo MBU WENYE WELEDI WA KUNG'ATA WALIMNG'ATA.

 
Dua la kuku alimpati mwewe, jamaaa ana miongo kadhaa ya kuishi. Pesa sabuni ya roho. Mlala hoi zamani kesha sahulika.

Hata taka itaongezeka hiyo miongo kadhaa ila kufa kuko palepale, ni bora angejiondokea mapema kupunguza dhambi kuliko kuendelea kuwepo kuongeza dhambi!
 
Dua la kuku alimpati mwewe, jamaaa ana miongo kadhaa ya kuishi. Pesa sabuni ya roho. Mlala hoi zamani kesha sahulika.

Hata kama itaongezeka hiyo miongo kadhaa ila kufa kuko palepale, ni bora angejiondokea mapema kupunguza dhambi kuliko kuendelea kuwepo kuongeza dhambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…