Nimesoma somewhere leo (nadhani gazeti la Mwananchi) Said Mwema akisema kuwa anaendelea vizuri na kuna uwezekano akarejea nyumbani mwishoni mwa wiki hii
teh teh teh...! Umeonaaaa,mbu huyu si wa kawaida kwa kweli ingewezekana wafanye msako wamuue,watu wa Rock city mtusaidie katika hili huenda aliuumwa kipindi cha uchunguzi wa kifo cha marehemu Barlow maeneo ya kitangiri minazi miwili kama sijasahau!