jason baby
Member
- May 28, 2014
- 17
- 7
habari wanajamvi ,kwa wale waliofanya interview TBS kuna anayefahamu majibu yatatoka baada ya muda gani? natanguliza shukrani...
ulisubiria muda gani kuitwa kwenye paper mwana. Tuliza kihoro banaMbona hawa tbs wapo kimya hadi leo mwenye taarfa atujuze tafadhal
ulisubiria muda gani kuitwa kwenye paper mwana. Tuliza kihoro bana
Kuwa mpole kijana mambo yanaenda taratibu endele kutupia na sehemu zingine si umeona na polisi nao wametoa
kwahiyo mnategemea kutoa hayo motokeo lini vile Ipycalypse